Tuesday, October 13, 2009

swahili.

took my final swahili exam this afternoon.

swahili imemaliza. ninafurahi sana. sasa ninaweza kusema kiswahili kidogo. ninapenda kiswahili, kiswahili ni rahisi sana lakini sipendi noun classes. leo nilizungumza kuhusu jamaa yangu katika america. ninapenda jamaa yangu katika america. na ninapenda mrafiki zangu. juma iliopita tutaenda uganda au tanzania. nikienda tanzania ningependa kuenda mt. kilimanjaro. leo mimi ni mgonjua kwa sababu juzi nilikunywa maji chafu.

the examiner said my grammar was good and although my vocabulary was relatively small I had a good handle on it. not bad for one month of swahili classes.

No comments:

Post a Comment